Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018

MADA YA LEO

   KWA NINI WAIMBAJI WA LEO WAKIINULIWA WANAJITENGA AU KUJIGAWA NA KUONA WAIMBAJI WADOGO/CHIPKIZI SI KITU???????       ••••SEMA USIKIKE WENGINE WAELIMIKE•••••      Ni kila siku kwanzia saa tatu usiku_saa tano . TUTAKUWA NA MADA MOJA KILA SIKU KARIBU UCHANGIE TUJIFUNZE PAMOJA .       BY. J A M

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA

Picha
      √√√Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania na Afrika kiujumla GOODLUCK GOZBERT Hivi karibuni ameachia video yake mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la " HAUWEZI KUSHINDANA ".            Akizungumia video hii Goodluck ameeleza kuwa video hii iliyokwenye Albam yake ya pili iitwayo SHUKURANI ameeleza kuwa video hiyo kwa sasa inapatikana YouTube kwa jina la Goodluck gozbert ~ hauwezi kushindana   ambayo kwa sasa inafanya vizuri kwa kutazamwa na wengi zaidi.              Pia goodluck ameongeza kuwa kwa sasa Albamu yake mpya iko tayari nchi nzima ikisambazwa na MAXMALIPO ."kwa kufika ofisi zozote za max malipo nchini waweza kujipatia albamu hii "         © Goodluck gozbert : mwimbaji wa nyimbo za injili nchini aliyetambulika rasmi mwaka 2015 baada ya kutoa nyimbo...

KKKT MBEYA WAMUAGA ASKOF DK.MWAKYOLILE

Picha
    √√Leo hii kanisa la kiinjli ni kirutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde wamefanya sherehe kubwa ya kumuaga aliyekuwa Askof mkuu wa Dayosisi hiyo DR. ISRAEL MWAKYOLILE ambaye anamaliza muda wake baada ya kuongoza dayosisi hiyo kwa muda wa miaka kumi na sita.           Gospel star Newz leo hii ilifanikiwa kuhudhulia katika sherehe hiyo iliyofanyika KKKT USHARIKA WA LUANDA kabwe jijini mbeya. Katika sherehe hiyo ambayo pia alisimikwa Askofu mpya wa Dayosisi hiyo    DR.EDWARD MWAIKALI Iliongozwa na NAIBU SPIKA WA BUNGE DK . TULIA ACKSON MWANSASU  akimuwakilisha Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.JOHN MAGUFULI ambapo ilihudhuliwa na jopo la maaskofu wa kanisa hilo pamoja na wachungaji wengi kutoka ndani na nje ya mkoa wa mbeya.          ASKOFU ISRAEL MWAKYOLILE   alianza uchungaji mwaka 1986 akianzia katika kanisa la KKKT USH ARIKA WA ...

ASKOFU MBEPERA EAGT AFARIKI DUNIA

Picha
       √√Kanisa la E VANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD ( TZ ) EAGT Limepokea kwa masikitiko kifo cha mchungaji kiongozi wa kanisa la EAGT Msasani jijini Dar es salaam PHILIBERT MBEPERA kilichotokea hiv i leo katika hospital ya Taifa Muhimbili .            Askof mbepera alilazwa hospitalini hapo mwezi mmoja uliopita katika wodi ya wagonjwa maututi ( ICU )         A skof mbepera moja kati ya wa chungaji wa kwanza wa kanisa la EAGT jijini Dar es salaam  Alizaliwa mnamo januari 1950.         √√√√ Hii ilikuwa habari fupi kuhusu kifo cha ASKOF MBEPERA mda si mrefu utaletewa habari kamili pamoja na historia yako          Endelea kufuatilia habari ndani ya GOSPEL STAR NEWS        © I meandali...

TUTALIPWA KUFANYA UZINDUZI MKUBWA DAR

Picha
   √Lebo ya kusaidia waimbaji chipukizi Tanzania ikijulikana kama" TUTALIPWA " inatarajiwa kuzinduliwa mna tar 8/4 mwaka huu jijini Dar es salaam        √√Akizungumzia uzinduzi huo msimamizi wa lebo hiyo na mwimbaji wa nyimbo za injili Shedrack sheria ameeleza kuwa uzinduzi huo mkubwa unatarajiwa kufanyika katika kanisa la SAFINA kigambani jijini Dar.        ....Aidha uzinduzi huo utapambwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili nchini wakiwemo CHRISTOPHER MWAHANGIRA , TUMAIN NJOLE, BONIFACE MAGUPA , MCH. JOSHUA MAKONDEKO , SILAS MBISE , ANISET BUTAT , ENOCK JONAS, MJUKUU WA YESU NA WENGINE WENGI .        @ JOHN MWAKIPESILE © GOSPEL STAR NEWZ & MAGAZINE               0712688802 karibu utangaze nasi

CHINA,JAPANI WAMPOKEA PASTOR KENYATTA KWA KISHINDO

Picha
         √√Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili na mchungaji ZACHARIA KENYATTA Siku chache zilizopita alipokelewa kwa kishindo na mataifa Tajiri duniani China, Japani na philippines .         Katika ziara hiyo ambayo pastor kenyatta alifanya huduma na kuhubiri makanisa mbalimbali nchi hizo.Watu wengi wa mataifa hayo walibarikiwa na huduma yake pamoja na maombezi na kufunguliwa pia.         √√Pia pastor kenyatta alifanya kitu cha kihistoria nchini china kwa kuzindua albam yake inayokwenda kwa jina la " WATAKUHESHIMU KESHO "         PASTOR ZACHARIA KENYATTA ~ mchungaji kiongozi wa kanisa la mlima sinai lililopo Tabata jijini DAR ES SALAAM pia ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili    ©    Imeandaliwa na JOHN MWAKIPESILE         ...

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

Picha
√√Ikiwa ni mwendelezo wa vipindi vinavyoendeshwa na kituo hiki leo katika kipindi cha NANI NI NANI?  Tulikuwa na mwimbaji wa nyimbo za injili YOHANA MGAYA  Mdogo wake mch. MASANJA MKANDAMIZAJI Yako mengi tuliyoweza kuyafahamu kuhusu mwimbaji huyu wa nyimbo za injili na haya ni moja ya maswali niliyoweza kumuuliza;    SWALI 1. ULIANZA LINI KUIMBA ?? JIBU . Nilianza toka mdogo nikiwa naimba kwenye kwaya na vikundi kwa mrefu ila baada ya kuona kila kikundi nikijiunga kidogo kinasambaratika What'sapp tunaita kuleft baada ya kuona hali hiyo ndipo nikaamua kuimba binafsi S WALI 2. NINI KILICHOKUSUKUMA KUIMBA JIBU . NI Wito pamoja na shauku ya kumtumikia mungu SWALI 3. UMEFIKIA WAPI KWA SASA ?? JIBU . Kwasasa nimeshakamilisha Albamu yangu ya kwanza ambayo iko katika mfumo wa video na kuhusu hina la Albamu Ninamsubiri kaka yangu ( MASANJA ) Ambaye ndye mshauri wa huduma yangu amesafiri leo kwenda Marekani nafikiri akirudi nipo tutapanga albam...

ELIZA KIJAZI NA UJIO WA (WEWE NI BWANA)

Picha
√√ Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini akijulikana kama ELIZABETH KIJAZI Ameachia Albamu yake inayo kwenda kwa jina la " WEWE NI BWANA "       √√Akizungumza na kituo hiki Elizabeth ameeleza kuwa Albam hiyo imesha kamilika katika mfumo wa Audio cd na yuko kwenye harakati za kufanya shooting ya albam hii        Aidha ameongeza kuwa albamu hiyo iliyobeba nyimbo saba ikiwa na nyimbo zinazofanya vizuri kwenye muziki wa injili kama BWANA NI NURU YANGU , BABA USHUKURIWE , JINA LA YESU , WEWE NI BWANA  Na nyingne nyingi ndani ya albamu hii       }}Pia Elizabeth kijazi ameongeza kuwa anamshukuru Mungu kwa hatua hii aliyoifikia na ana mpango wa kufanya kitu kikubwa kwaajili ya kutangaza injili kwa njia ya uimbaji mjini na vijijini.      ELIZABETH KIJAZI ~ Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini anayekuja kwa kasi sana akitokea mkoa wa Tanga ana albamu moja il...

HAPPYNESS SANGA,MATHA BARAKA WAJA KIVINGINE

Picha
}}Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini maarufu kama H APPYNESS SANGA ameachia nyimbo mpya inayokwenda kwa jina la "SIFA NI ZAKE MUNGU ''           √√ A kizungumzia nyimbo hiyo inayofanya vizuri kwa sasa katika tasnia ya muziki wa injili Happyness ameeleza kuwa nyimbo hii ndiyo iliyobeba albamu yake ya pili ( SIFA NI ZAKE MUNGU ) Akimshirikisha mwimbaji wa kimataifa  MATHA BARAKA.Aidha ameeleza kuwa anampango wa kufanya kitu kikubwa katika muziki wa injili Ikiwemo ujio wa video ya Albam hii ambayo kwa sasa iko katika mfumo wa Audio cd.           Pia ameongeza kuwa albam hii iliyobeba nyimbo nzuri kama NITAKUINUA , UNANIBARIKI , SAULI WANGU Na nyingne nyingi zinapatikana mtandaoni kwa jina la HAPPYNESS SANGA PIa amewataka wadau wa muziki wa injili kujipatia Albamu yake ya kwanza ambayo kwa sasa iko madukani nchi nzima.          ...

CHRISTOPHA MWAHANGIRA,TUMAINI NJOLE,NEEMA MUDOSSA KUUNGURUMA UMAKI MORO

Picha
√√Mapema hii leo linatarajiwa kufanyika kongamano kubwa la wanawake lililoandaliwa na umoja wa wanawake kanisa la ANGLIKANA JIMBO LA MOROGORO maarufu kama (UMAKI ) litakalofanyika Kanisa ANGLIKANA UTATU MTAKATIFU MOROGORO MJINI         Aidha wanenaji wa kongamano hilo watakuwa ni MCH.TUMAIN NJOLE(MAMA ASKOF ) akishirikiana na mama MCH. ASHSHELY           PIa katika kongamano hilo litapamba na waimbaji mahiri wa nyimbo za injili wakiwemo CHRISTOPHA MWAHANGIRA , NEEMA MUDOSA , JOYCE OMBENI NA TUMAIN NJOLE pia kutakuwa na kwanya mbalimbali zitakazo hudumu ikiweno KWAYA YA WAMAMA ( UMAKI ) JES US GOSPEL MESSENGERS ( JGM ) GLORY CHOIR Na nyingine nyingi zitakuwepo.       ©Gospel star Newz &Magazine 0712688802(karibu utangaze nasi )

HAPPYBIRTDAY EV.JOABU NZARA

Picha
}}}Uongozi wa GOSPEL STAR NEWZ & MAGAZINE unapenda kumtakia heri ya kuzaliwa mwimbaji na mwinjilist JOABU NZARA { MWAMAPUNDA WA YES U } Hakika tunamtakia kheri na Mwaka wenye baraka na mafanikio          ••MUNGU aibariki huduma yako pamoja na kazi za mikono yako na akushibishe MEMA yote               A MEN AMEN       © imeandaliwa na John mwakipesile            @ Gospel Star Newz   & Magazine  

JOHABU NZARA & JJ LWIZZA WAACHIA WIMBO MPYA

Picha
√√Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini akitokea mkoa wa Iring a JOHABU NZARA maarufu kam a " MWANAPUNDA WA YESU "  Hivi karibuni ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Ndani ya Yesu       ••Akizungumzia wimbo huo Nzara ambay e amemshirikisha mwimbaji wa nyimbo za injili na /mwenyekiti wa waimbaji wa nyimbo za injili Mkoa wa mbeya joseph lwiza (JJ LWIZA ) anaetamba na wimbo uitwao " Uokoke sharobaro men "  ameeleza kuwa wimbo huu kwa sasa umeshakamilika na ndiyo wimbo uliobeba albamu yake mpya itakayotoka hivi karibuni iliyobeba nyimbo nzuri kama Dunia , Amebaki yesu na MUNGU ni mwema .                 Aidha MWANAPUNDA ameongeza kuwa nyimbo hii pamoja na nyimbo zake nyingine zinapatika mitandaini kwa jina la JOABU NZALA .             ]]] JOABU NZARA~ mwimb...