HAPPYBIRTDAY EV.JOABU NZARA
}}}Uongozi wa GOSPEL STAR NEWZ &MAGAZINE unapenda kumtakia heri ya kuzaliwa mwimbaji na mwinjilist JOABU NZARA{MWAMAPUNDA WA YESU} Hakika tunamtakia kheri na Mwaka wenye baraka na mafanikio
••MUNGU aibariki huduma yako pamoja na kazi za mikono yako na akushibishe MEMA yote
AMEN AMEN
©imeandaliwa na John mwakipesile
@Gospel Star Newz &Magazine
Maoni
Chapisha Maoni