NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

√√Ikiwa ni mwendelezo wa vipindi vinavyoendeshwa na kituo hiki leo katika kipindi cha NANI NI NANI?  Tulikuwa na mwimbaji wa nyimbo za injili YOHANA MGAYA  Mdogo wake mch.MASANJA MKANDAMIZAJI Yako mengi tuliyoweza kuyafahamu kuhusu mwimbaji huyu wa nyimbo za injili na haya ni moja ya maswali niliyoweza kumuuliza;
   SWALI 1.ULIANZA LINI KUIMBA??

JIBU.Nilianza toka mdogo nikiwa naimba kwenye kwaya na vikundi kwa mrefu ila baada ya kuona kila kikundi nikijiunga kidogo kinasambaratika What'sapp tunaita kuleft baada ya kuona hali hiyo ndipo nikaamua kuimba binafsi

SWALI 2.NINI KILICHOKUSUKUMA KUIMBA

JIBU. NI Wito pamoja na shauku ya kumtumikia mungu

SWALI 3.UMEFIKIA WAPI KWA SASA??

JIBU.Kwasasa nimeshakamilisha Albamu yangu ya kwanza ambayo iko katika mfumo wa video na kuhusu hina la Albamu Ninamsubiri kaka yangu (MASANJA ) Ambaye ndye mshauri wa huduma yangu amesafiri leo kwenda Marekani nafikiri akirudi nipo tutapanga albam iitweje

SWALI 4.NINI MALENGO YAKO??

JIBU.Ninampango wa kufika mbali kuitangaza injili ya yesu kristo hata sehemu yenye mazingira magumu

SWALI 5.MWIMBAJI GANI MKUBWA UMEFANYA NAE COLLABO??

JIBU.mwimbaji mkubwa niliyefanya nae kazi ni HONDWA MATHIAS na wengine ni waimbaji wadogo tu

SWALI 6. NI SHUGHULI GANI UNAIFANYA NJE YA MUZIKI??

JIBU.Kazi ni nayoifanya nje ya mziki ni mfanyakazi wa MTV(MASANJA TELEVISIÓN ).

   }}Hayo yalikuwa mahojiano niliyoyafanya na mwimbaji wa kimataifa YOHANA MGAYA (Mdogo wa MASANJA ) Leo katika kipindi cha NANI NI NANI? KARIBU TENA TUKUTANE WEEK IJAYO SIKU KAMA YA LEO
           AMEN AMEN
  ©Mtayarishaji wako nilikuwa mimi JOHN MWAKIPESILE unaweza zungumza na mimi kupitia 0712688802 au johnmwaky2018@gmail.com

          ©Gospel star Newz &magazine DSM TZ

Maoni

  1. Bet365 Casino & Promos 2021 - JTM Hub
    Full list of Bet365 출장안마 Casino & Promos nba매니아 · Up to £100 in Bet Credits 바카라 사이트 for new customers at bet365. Min deposit £5. Bet Credits available for apr casino use upon settlement of bets to value of 출장샵

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA