JOHABU NZARA & JJ LWIZZA WAACHIA WIMBO MPYA

√√Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini akitokea mkoa wa Iringa JOHABU NZARA maarufu kama" MWANAPUNDA WA YESUHivi karibuni ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Ndani ya Yesu
      ••Akizungumzia wimbo huo Nzara ambaye amemshirikisha mwimbaji wa nyimbo za injili na /mwenyekiti wa waimbaji wa nyimbo za injili Mkoa wa mbeya joseph lwiza(JJ LWIZA ) anaetamba na wimbo uitwao "Uokoke sharobaro men "  ameeleza kuwa wimbo huu kwa sasa umeshakamilika na ndiyo wimbo uliobeba albamu yake mpya itakayotoka hivi karibuni iliyobeba nyimbo nzuri kama Dunia,Amebaki yesu na MUNGU ni mwema.
                Aidha MWANAPUNDA ameongeza kuwa nyimbo hii pamoja na nyimbo zake nyingine zinapatika mitandaini kwa jina la JOABU NZALA.

            ]]]JOABU NZARA~mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania pia Mwalimu wa Neno la mungu na Muhubiri injili
 
  @Gospel star newz Tz

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA