CHINA,JAPANI WAMPOKEA PASTOR KENYATTA KWA KISHINDO

         √√Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili na mchungaji ZACHARIA KENYATTA Siku chache zilizopita alipokelewa kwa kishindo na mataifa Tajiri duniani China,Japani na philippines.
        Katika ziara hiyo ambayo pastor kenyatta alifanya huduma na kuhubiri makanisa mbalimbali nchi hizo.Watu wengi wa mataifa hayo walibarikiwa na huduma yake pamoja na maombezi na kufunguliwa pia.
        √√Pia pastor kenyatta alifanya kitu cha kihistoria nchini china kwa kuzindua albam yake inayokwenda kwa jina la "WATAKUHESHIMU KESHO "

        PASTOR ZACHARIA KENYATTA ~mchungaji kiongozi wa kanisa la mlima sinai lililopo Tabata jijini DAR ES SALAAM pia ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili

   ©   Imeandaliwa na JOHN MWAKIPESILE
             @GOSPEL STAR NEWZ &MAGAZINE    
          tupigie 0712688802

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA