ELIZA KIJAZI NA UJIO WA (WEWE NI BWANA)

√√Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini akijulikana kama ELIZABETH KIJAZI Ameachia Albamu yake inayo kwenda kwa jina la "WEWE NI BWANA"
      √√Akizungumza na kituo hiki Elizabeth ameeleza kuwa Albam hiyo imesha kamilika katika mfumo wa Audio cd na yuko kwenye harakati za kufanya shooting ya albam hii
       Aidha ameongeza kuwa albamu hiyo iliyobeba nyimbo saba ikiwa na nyimbo zinazofanya vizuri kwenye muziki wa injili kama BWANA NI NURU YANGU,BABA USHUKURIWE,JINA LA YESU,WEWE NI BWANA  Na nyingne nyingi ndani ya albamu hii
      }}Pia Elizabeth kijazi ameongeza kuwa anamshukuru Mungu kwa hatua hii aliyoifikia na ana mpango wa kufanya kitu kikubwa kwaajili ya kutangaza injili kwa njia ya uimbaji mjini na vijijini.

     ELIZABETH KIJAZI ~ Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini anayekuja kwa kasi sana akitokea mkoa wa Tanga ana albamu moja iliyobeba nyimbo sana nyimbo zote hizo zinapatikana YouTube kwa jina la Elizabeth kijazi.
         

         ©Gospel star Newz &Magazine DSM TZ 0712688802

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA