TUTALIPWA KUFANYA UZINDUZI MKUBWA DAR
√Lebo ya kusaidia waimbaji chipukizi Tanzania ikijulikana kama"TUTALIPWA " inatarajiwa kuzinduliwa mna tar 8/4 mwaka huu jijini Dar es salaam
√√Akizungumzia uzinduzi huo msimamizi wa lebo hiyo na mwimbaji wa nyimbo za injili Shedrack sheria ameeleza kuwa uzinduzi huo mkubwa unatarajiwa kufanyika katika kanisa la SAFINA kigambani jijini Dar.
....Aidha uzinduzi huo utapambwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili nchini wakiwemo CHRISTOPHER MWAHANGIRA,TUMAIN NJOLE,BONIFACE MAGUPA,MCH.JOSHUA MAKONDEKO,SILAS MBISE,ANISET BUTAT,ENOCK JONAS,MJUKUU WA YESU NA WENGINE WENGI.
@JOHN MWAKIPESILE
©GOSPEL STAR NEWZ&MAGAZINE
0712688802 karibu utangaze nasi
Maoni
Chapisha Maoni