CHRISTOPHA MWAHANGIRA,TUMAINI NJOLE,NEEMA MUDOSSA KUUNGURUMA UMAKI MORO

√√Mapema hii leo linatarajiwa kufanyika kongamano kubwa la wanawake lililoandaliwa na umoja wa wanawake kanisa la ANGLIKANA JIMBO LA MOROGORO maarufu kama (UMAKI ) litakalofanyika Kanisa ANGLIKANA UTATU MTAKATIFU MOROGORO MJINI
        Aidha wanenaji wa kongamano hilo watakuwa ni MCH.TUMAIN NJOLE(MAMA ASKOF ) akishirikiana na mama MCH.ASHSHELY
          PIa katika kongamano hilo litapamba na waimbaji mahiri wa nyimbo za injili wakiwemo CHRISTOPHA MWAHANGIRA,NEEMA MUDOSA,JOYCE OMBENI NA TUMAIN NJOLE pia kutakuwa na kwanya mbalimbali zitakazo hudumu ikiweno KWAYA YA WAMAMA (UMAKI ) JESUS GOSPEL MESSENGERS(JGM ) GLORY CHOIR Na nyingine nyingi zitakuwepo.

      ©Gospel star Newz &Magazine 0712688802(karibu utangaze nasi)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA