ASKOFU MBEPERA EAGT AFARIKI DUNIA
√√Kanisa la EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD (TZ ) EAGT Limepokea kwa masikitiko kifo cha mchungaji kiongozi wa kanisa la EAGT Msasani jijini Dar es salaam PHILIBERT MBEPERA kilichotokea hivi leo katika hospital ya Taifa Muhimbili.
Askof mbepera alilazwa hospitalini hapo mwezi mmoja uliopita katika wodi ya wagonjwa maututi (ICU )
Askof mbepera moja kati ya wachungaji wa kwanza wa kanisa la EAGT jijini Dar es salaam Alizaliwa mnamo januari 1950.
√√√√Hii ilikuwa habari fupi kuhusu kifo cha ASKOF MBEPERA mda si mrefu utaletewa habari kamili pamoja na historia yako
Endelea kufuatilia habari ndani ya GOSPEL STAR NEWS
©Imeandaliwa na JOHN MWAKIPESILE
@GOSPEL STAR NEWZ&MAGAZINE DSM TZ
0712688802 Tunapokea habari na kutangaza kwa gharama nafuu sanaa
Maoni
Chapisha Maoni