GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA
√√√Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania na Afrika kiujumla GOODLUCK GOZBERT Hivi karibuni ameachia video yake mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la "HAUWEZI KUSHINDANA ".
Akizungumia video hii Goodluck ameeleza kuwa video hii iliyokwenye Albam yake ya pili iitwayo SHUKURANI ameeleza kuwa video hiyo kwa sasa inapatikana YouTube kwa jina la Goodluck gozbert ~hauwezi kushindana ambayo kwa sasa inafanya vizuri kwa kutazamwa na wengi zaidi.
Pia goodluck ameongeza kuwa kwa sasa Albamu yake mpya iko tayari nchi nzima ikisambazwa na MAXMALIPO."kwa kufika ofisi zozote za max malipo nchini waweza kujipatia albamu hii "
©Goodluck gozbert :mwimbaji wa nyimbo za injili nchini aliyetambulika rasmi mwaka 2015 baada ya kutoa nyimbo yake iliyofahamika kama "IPO SIKU ".Kwa sasa ana Albamu mbili zikijulikana kama 1.ipo siku
2.Shukurani
________/ Imeandaliwa na JOHN MWAKIPESILE_______/0712688802
@GOSPEL STAR NEWZ &MAGAZINE TZ
Tupigie kutangaza huduma yako kwa gharama nafuu.0712688802 what'sApp
Maoni
Chapisha Maoni