MOUREEN MWAKASITU KUZINDUA DVD KUANDIKWA KITABUNI 2018
√√√Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini MOUREEN MWAKASITU kutoka nyanda za juu kusini MBEYA TZ anatarajia kuzindua Albamu yake ya kwanza iliyo kwenye mfumo wa DVD (video) ikijulikana kama KUANDIKWA KITABUNI.
>>Akizungumza na kituo hiki Moureen ameeleza kuwa DVD hiyo ambayo ni albam yake ya kwanza amesema kuwa kwa sasa ipo kwenye harakati za kukamilika matayarisho yake (shooting ) na itazinduliwa mwaka huu baada ya kukamilika.
Aidha Albam hiyo iliyobeba nyimbo zinazofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa injili kama UMEBAKI WEWE,MUNGU NI MWEMA,YUPO MUNGU NA KUANDIKWA KITABUNI. Zinapatikana YouTube kwa jina la MOUREEN BOAZ MWAKASITU.kwa mihaliko au mawasiliano yake unaweza kumtafuta kwenye account yake ya Facebook kwa Moureenboaz mwakasitu
MOUREEN MWAKASITU ~Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mkoa wa mbeya. KUANDIKWA KITABUNI~Albam yake ya kwanza inayitarajiwa kuzinduliwa mwaka huu 2018.
@imeandikwa na JOHN MWAKIPESILE
©GOSPEL STAR NEWZ $MAGAZINE 0712688802 DSM TZ
Kiukweli nampa PONGEZI kubwa kwa kazi yake nzuri anayoifanya, kikubwa aendelee kunyenyekea na kukubali kuongozwa na MUNGU, na kwa kufanya hivyo, atainuliwa zaidi. Nyimbo zake ni nzuri na zina ujumbe pia. BARIKIWA.
JibuFuta