SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NA.John mwakipesile  DAR
√√Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini maarufu kama samuel mv bukoba mtoto aliyeokolewa kwenye ajali ya meri mv bukoba 1996 akiwa na umri wa miaka minne na kupoteza wazazi wake wote kwenye ajali hyo Anatarajia kuzindua Albam yake mpya inayokwenda kwa jina la "NANI ANIFUTE MACHOZI?"
        Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni samuel ameekeza kuwa Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika katika kanisa la KKKT USHARIKA WA SOKONI II jijini Arusha mnamo tarehe 22/4/2018

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA