GETRUDE MWASILE AJA NA"ONDOA JIWE"

}}}Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini kutoka jiji la mbeya GETRUDE MWASILE  ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la "ONDOA JIWE "
           √√Akizungumza na kituo hiki hivi karibuni Getrude ameeleza kuwa Albam hii kwasasa iko tayari katika mfumo wa Audio cd na tayari imeshazinduliwa na tayari iko sokoni
        √√Albamu hii iliyobeba zinazofanya vizuri kwa sasa kama Uvumilivu,ondoa jiwe na Moyo wangu tulia zinapatikana pia mtandaoni kwa jina la Getrude mwasile
        Pia Getrude yupo tayari kwa mihaliko akipatikana kanisa la EAGT MAKIMBILIO(mbalizi )kwa mchungaji ESILI MWASUNDA

                                      Picha na. John mwakipesile(0712688802)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA