COSTANTINO PIUS AACHIA VIDEO MPYA "VIWANGO VINGINE"

√√Mwimbaji wa nyimbo za injili na mtangazaji wa kituo cha redio wapo fm maarufu kama costantino pius aachia video yake mpya inayofanya vizuri katika muziki wa injili ikijulikana kama ’’viwango vingine"
    >>akizungumzia nyimbo hyo ambayo amemshirikisha mwimbaji wa nyimbo za injili anayefanya vizuri kitaifa na kimataifa christopha mwahangira amesema kuwa video hiyo kwa sasa iko tayari na watanzania waipokee kwa mikono miwili
   >>Video hiyo inayofanya vizuri iliyotayarishwa na director mkongwe hapa nchini mbangwa hassan kwa sasa inapatikana youTube kwa jina la COSTANTINO PIUS FT.CHRISTOPHA MWAHANGIRA~VIWANGO VINGINE
       Mungu hakubariki sana hakika utainuliwa viwango vingine

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SAMUEL MV BUKOBA KUZINDUA NANI ANIFUTE MACHOZI

NANI NI NANI? YOHANA MGAYA(MASANJA JUNIOR)

GOODLUCK GOZBERT AACHIA VIDEO HAUWEZI KUSHINDANA