GETRUDE MWASILE AJA NA"ONDOA JIWE"

}}}Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini kutoka jiji la mbeya GETRUDE MWASILE ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la " ONDOA JIWE " √√ Akizungumza na kituo hiki hivi karibuni Getrude ameeleza kuwa Albam hii kwasasa iko tayari katika mfumo wa Audio cd na tayari imeshazinduliwa na tayari iko sokoni √√Albamu hii iliyobeba zinazofanya vizuri kwa sasa kama Uvumilivu , ondoa jiwe na Moyo wangu tulia zinapatikana pia mtandaoni kwa jina la Getrude mwasile Pia Getrude yupo tayari kwa mihaliko akipatikana kanisa la EAGT MAKIMBILIO ( mbalizi ) kwa mchungaji ESILI MWASUNDA Picha na. John mwakipesile (071...