MAJIBU 6 YA MASWALI KUHUSU MWIMBAJI JOHN MWAKIPESILE
Na: joseph misshey:MBEYA
¶¶Ikiwa ni kipindi ambacho muziki WA injili unakuja kwa kasi sana na kupendwa na wengi kitaifa na kimataifa wiki hili nilipata nafasi ya kuzungumza na Mwimbaji anayefanya vizuri kwa sasa katika muziki WA injili maarufu kama JOHN MWAKIPESILE na hata ni moja ya maswali niliyoweza kumuuliza na kuskia majibu kutoka kwake.
SWALI:ulianza lini kuimba ??
JIBU:Yangu mdogo ila niliweza tambulika rasmi 2015 baada ya kutoa nyimbo moja iliyokwenda kwa Nina LA NJOO KWA YESU
SWALI:kwanini uliamua kuimba au nini kilichokusukuma kuwa Mwimbaji??
JIBU:Niliamua kuimba kama sehemu ya kumshukuru MUNGU kwa mengi aliyonitendea pia niliona kwa kuimba naweza kufikisha habari za mungu kwa watu wengi.
SWALI:Unauonaje mziki WA injili WA sasa na WA kipindi kileee au zamani?
JIBU:kwa bahati mbaya zamani sikuwepo wala kipindi kile sikuzaliwa labda ila kwa sasa naona muziki WA injili unakuja vizuri sana waimbaji wengi wameamka sana sana
SWALI: Unatamani kuwa kama Mwimbaji gani hapa nchini au kimataifa??
JIBU:kwa hill naweza kusema kuwa sitamani kuwa kama Mwimbaji mwingne maana Mimi naomba kama Mimi maana take sina roll modal ninayemuiga katika kuimba a ina ya muziki ninayoimba sifanani na Mwimbaji mwingne.
SWALI:Umeona au upo kwenye mahusiano???
JIBU:kuoa bado na mahusiano sijaelewa kama ni public relation or mmmmmmmh ninaweza kusema ikifika wakati Wa kuzungumzia hayo tutazungumzia na watu watafahamu
SWALI:mpaka sasa unanyimbo ngapi na unamalengo gani??
JIBU:mpaka sasa Nina nyimbo saba na Nina mpango wa kuachia albamu itakayo kwenda kwa jina LA NIKWA NEEMA na ndani ya albamu hii utazikuta nyimbo kama BILA SABABU,MAWAZO YA MUNGU, WAMESHINDWA,NI KWA NEEMA NA YUMWEMA.
√√√Hayo ni baadhi ya mazungumzo niliyoyafanya Mwimbaji WA nyimbo za injili Tz JOHN MWAKIPESILE
Maoni
Chapisha Maoni