JOHN MWAKIPESILE AACHIA NYIMBO MBILI MPYA
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini tanzania maarufu kwa jina la JOHN MWAKIPESILE ameachia nyimbo mbili mya zinazofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa injil nyimbo hizo ni Mawazo ya Mungu pamoja na Bila sababu
Maoni
Chapisha Maoni