Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2018

HABARI: NI MAJONZI MAZISHI YA MASOGANGE BELLE 9,ANT EZEKIEL,SEPETU,JACK WALPER,JOHN MWAKIPESILE,BILL NAS WAHUDHULIA

Picha
√√ Leo ilikuwa siku ya simanzi katika jiji la mbeya Baada ya mwili wa aliyekuwa msanii wa bongo movie na video exen(video queen ) maarufu nchini AGNESS JERALD ( MASOGANGE ) kuwasili nyumbani kwao Mbalizi jijini mbeya kwaajili ya mazishi ukitokea Dar es salaam alikopatwa na umauti ijumaa week iliyopita.           Aidha katika mazishi hayo yalihudhuriwa na wasanii mbalimbali wa bongo flavour,bongo movie,Gospel pamoja na viongozi wa serikali wakiwemo BELLE 9, ANT EZEKIEL, WEMA SEPETU , JACKLINE WALPER , JOHN MWAKIPESILE ( Gospel ) Bill NASS, DOGO JANJA pia viongozi mbalimbali wa serikari wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Mbeya A MOSI MAKALA ,mkuu wa wilaya ya Mbeya pamoja na kamanda wa polisi Mkoa.                A GNESS GERARD WAYA AU MASOGANGE alizaliwa 1989 kata ya Utengule,Mbalizi mkoani Mbeya na alifariki 20/04/2018 katika hospital ya MAMANGOMA jijini D...

MOUREEN MWAKASITU KUZINDUA DVD KUANDIKWA KITABUNI 2018

Picha
        √√√Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini MOUREEN MWAKASITU kutoka nyanda za juu kusini MBEYA TZ anatarajia kuzindua Albamu yake ya kwanza iliyo kwenye mfumo wa DVD (video) ikijulikana kama KUANDIKWA KITABUNI .          >> Akizungumza na kituo hiki Moureen ameeleza kuwa DVD hiyo ambayo ni albam yake ya kwanza amesema kuwa kwa sasa ipo kwenye harakati za kukamilika matayarisho yake (shooting ) na itazinduliwa mwaka huu baada ya kukamilika .          Aidha Albam hiyo iliyobeba nyimbo zinazofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa injili kama UMEBAKI WEWE , MUNGU NI MWEMA , YUPO MUNGU NA KUANDIKWA KITABUNI . Zinapatikana YouTube kwa jina la MOUREEN BOAZ MWAKASITU.kwa mihaliko au mawasiliano yake unaweza kumtafuta kwenye account yake ya Facebook kwa Moureen boaz mwakasitu   ...