MAJIBU 6 YA MASWALI KUHUSU MWIMBAJI JOHN MWAKIPESILE
Na: joseph misshey:MBEYA ¶¶Ikiwa ni kipindi ambacho muziki WA injili unakuja kwa kasi sana na kupendwa na wengi kitaifa na kimataifa wiki hili nilipata nafasi ya kuzungumza na Mwimbaji anayefanya vizuri kwa sasa katika muziki WA injili maarufu kama JOHN MWAKIPESILE na hata ni moja ya maswali niliyoweza kumuuliza na kuskia majibu kutoka kwake. SWALI:ulianza lini kuimba ?? JIBU:Yangu mdogo ila niliweza tambulika rasmi 2015 baada ya kutoa nyimbo moja iliyokwenda kwa Nina LA NJOO KWA YESU SWALI:kwanini uliamua kuimba au nini kilichokusukuma kuwa Mwimbaji?? JIBU:Niliamua kuimba kama sehemu ya kumshukuru MUNGU kwa mengi aliyonitendea pia niliona kwa kuimba naweza kufikisha habari za mungu kwa watu wengi. SWALI:Unauonaje mziki WA injili WA sasa na WA kipindi kileee au zamani? JIBU:kwa bahati mbaya zamani sikuwepo wala kipindi kile sikuzaliwa labda ila kwa sasa naona muziki WA injili unakuja vizuri sana waimbaji wengi wameamka sana sana ...